TAMKO LA TANESCO KWA UMEME KUKATIKA BAADHI YA SEHEMU DAR
Posted on
Jul 24, 2012
|
No Comments

Shirika la Tanesco kupitia Afisa Mawasiliano Wake Ame Toa tarifaa juu ya umeme kukatika badhi ya maeneo jijini Dar es Salaam jana Usiku Kwa masaa kadha.Umeme ulikataka jana kutonkana na mafundi wa Tanesco kubadili Transformer yenye uwezo mdogo na kuweka yenye uwezo mkubwa baada ya kumaliza kwa matengenezo hayo umeme ulirudi saa Tatu usiku na kukatika tena saa 6 usiku ,Tanesco imesema mafund wao wako kazini leo hii kushugulikia tattizo hilo ambalo wana dhani lita malizika saa kumi jioni