Ujumbe wa siku..
Posted on
Jun 6, 2012
|
1 Comment
Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.Toa maoni yako!.
rchugah gat btfl galz
ReplyDelete