TIAFA STARS WAINYUKA HARAMBEE STARS 1-0
Posted on
Nov 14, 2012
|
No Comments
Mshambuliaji wa timu ya Tiafa Stars,
Mbwana Samata akijaribu kumtoka Beki wa Harambee Stars wakati wa mechi
ya kirafiki dhidi ya Harambee Stares ya Mwanza iliyochezwa katika Uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana.