photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MATOKEA YA FORM FOUR MWAKA 2012 HAYA HAPA>>

MATOKEA YA FORM FOUR MWAKA 2012 HAYA HAPA>>

Posted on Feb 18, 2013 | 5 Comments


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES


Tafadhali jaribu kwa kubofya hapa au hapa

Tovuti ya tatu inayopatikana kwa kubofya hapa, kwa sasa inaonekana kuwa (down) imezidiwa.

ILANI: Nawafahamisha nyote msiofahamu kuwa, matokeo yote yapo kwenye tovuti ya NECTA (www.necta.go.tz).  wavuti.com hai-host wala haihusiki na kushindwa kufungua linki zilizotajwa hapo juu kwa na matatizo ya server za NECTA kuishiwa bandwidth kwa kuelemewa na wingi wa watembeleaji/requests wanaotaka kutizama matokeo hayo!


Leo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (Mb) ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kitaifa ya ya Kidato cha Nne, Maarifa na QT.

Waziri amesema jumla ya watahiniwa waliofaulu ni  23,520 hali waliofeli ni 24,903.

Shule bora kwa ufaulu zimetajwa kuwa  ni pamoja na St. Francis Girls ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys ya Dar es Salaam, Marian Girls ya Bagamoyo na Simini. Nyingine ni Kanosa, St. Jude na St. Mary.

Taarifa zaidi zitawekwa hapa (update) kadiri zitakavyopatikana.


Comments: 5

  1. selikali hii ni ya kidwanzi balaa kama matokeo yapo tayarsi watangaze tu mbona wanaacha watoto wakae na presure

    ReplyDelete
  2. fredrick msuya. mpaka sasa sijajua ni serikari ya namna gani isiyo na aibu ya utendaji wake wa kazi? kumbe watoto walifaulu wakafelishwa au wamebadili matokeo? hv hata nchi za wenzwtu wakijua ni aibu. inachoshwa kwa kweli

    ReplyDelete
  3. kila mwaka wanafunzi wanarisiti mitiani lakini chakushangaza mwaka huu baraza la mitihani limerisiti.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    huku ni kucheza na maisha ya watu serious serikali muangalie hili.kwasababu kuna watu walifaulu matokeo ya mwanzo na haya ya pili wamefeli wats is it>???????????

    ReplyDelete
  4. kwan ccm ndio baraza la mitihani

    ReplyDelete