photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > USIKU HUU NDANI YA CLUB AQ

USIKU HUU NDANI YA CLUB AQ

Posted on Jul 20, 2012 | No Comments

Kama unafanya kazi sekta ya burudani, vinywaji, vyakula na mahoteli, usiku huu ni kwa ajili yako, leo kwetu wewe ni VIP, ingia bure toka saa 2 hadi saa tatu usiku, jiunge na wafanyakazi wenzako burudika na midundo toka kwa Dj Benny na Punguzo la asilimia 50 ukibeba chakula, usikose!!!

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru