MUANGALIE NICK MINAJ MTOTO KWENYE ELLEN SHOW.
Posted on
Aug 23, 2012
|
1 Comment
Wakati Ellen alipomwona Sophia Neema mtoto wa miaka 8 na ndugu yake wa miaka 5 Rosie wakiimba, alitaka kuwaonyesha katika kipindi chake moja kwa moja kutokana na kipaji chao. Wakitokea Uingereza, na wakiimba wimbo wa Nicki Minaj walionyesha maajabu katika show hiyo siku hiyo. Angalia mwenyewe ujionee.
hamna lolote hapo! Upuuz mtupu
ReplyDelete