CCM sasa vurugu tupu
                              Posted on 
                              May 30, 2012
                            |
                            
                                  No Comments
                                  
|  | 
| Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama | 
| MUKAMA ASEMA KINA MPASUKO MKUBWA KAMA G8, NATO, MAIGE AMLIPUA NAPE, ASEMA NI GAMBA LINALOPASWA KUVULIWA HALI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), si shwari na Katibu Mkuu wake, Wilson Mukama amekiri kwamba hivi sasa kina mpasuko mkubwa unaotokana na makundi yanayofanana na yale ya Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi (Nato) na Umoja wa Mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi duniani (G8). | 
 
 
 
 
 
 
 
 
