MISS GEITA KUPATIKANA JUMAMOSI HII
Posted on
May 31, 2012
|
No Comments
Warembo wanaowania taji la Miss Geita 2012 wakiwa katika pozi tayari kwa fainali ya Jumamosi.
MREMBO wa Redds Miss Geita anatarajia kupatikana Jumamosi ya Juni 2 mwaka huu, katika shindano litakalofanyika mjini humo kwenye ukumbi wa Ambasador.
Mashindano hayo ya urembo yatashirkisha warembo 12 kutoka katika wilaya zote za mkoa huo mpya wa Geita ambazo ni Bukombe, Geita, Chato, Mbogwe na Nyang'wale katika shindano litakalosindikizwa na muziki wa kukata na shoka.
