Katibu tawala ya wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma, Iddi Mponda akimkabidhi mwenge wa uhuru kwa katibu tawala mkoa wa Songea, Joseph Kapinga mara baadaya ya kumalizika kwa mbio hizo wilayani mbinga.
Meja Mpuku akipokea mwenge wa Uhuru Mpakani mwa wilaya ya mbinga na Songea katika kijiji cha Liganga.