Posted on
May 2, 2012
|
No Comments
|
Wavulana watamba kidato cha sita
Sekondari 10 Bora
1. Marian (wasichana) - Pwani 2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam 3. Kisimiri - Arusha 4. Kibaha - Pwani 5. Ilboru - Arusha 6. Mzumbe - Morogoro 7. Msalato - Dodoma 8. Tabora (wavulana) - Tabora 9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga 10. Consolata Seminari - Iringa Wanafunzi 5 bora Sayansi 1. Faith Assenga - Marian 2. Zawadi Mdoe - Feza 3. Belnadino Mgimba - Minaki 4. Jamal Juma - Feza 5.Imaculate Mosha - Marian Wanafunzi 5 bora biashara 1. Alex Isdor -Kibaha 2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cathedral 3. Vaileth Mussa -Weruweru 4. Seleman Manyiwa -Kibaha 5. Hussein Issa - Azania 5 bora Lugha na Sayansi ya Jamii 1. Faridi Abdalla - Mpwapwa 2. Jema Rwihura - Weruweru 3. Mariam Hincha - Weruweru 4. Neema Mbandwa - Igawilo 5. Hemed Hussein - Tosamaganga |
