photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM

Posted on May 30, 2012 | No Comments

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe  Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe  Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe alioupokea  Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 toka kwa Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. shoto  ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.Picha na IKULU

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru