Wabunge wa Chadema Waangwa rasmi kwa kuangalia mechi ya kimataifa
                              Posted on 
                              May 31, 2012
                            |
                            
                                  No Comments
                                  
Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndaniya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani. 
Picha ya pamoja na  viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil Usiku wa  kuamkia leo  Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani
Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la  kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar

Forward wa United States Landon Donovan, akipandisha majeshi juu huku alidhibitiwa na Brazil defender Marcelo wa Brazi katika mpambano wa kirafiki.
 
 
 
 
 
 
 
 
