ZUKU YAFANYA HAFLA YA KUTANGAZA UDHAMINI WA TAMASHA LA ZIFF
Posted on
May 31, 2012
|
No Comments
Mwenyekiti wa kampuni ya Wananchi Group kampuni inayosambaza vin'gamuzi vya televisheni ya Zuku Afrika hapa nchini Bw. Ali Mufuruki akizungumza katika hafla ya kutangaza kampuni hiyo ya Zuku Kudhamini tamasha la kimataifa la Zanzibar International Film Festivala (ZIFF) katika hafla iliyofanyika jana kwenye ufukwe wa Slipway jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa tamasha la ZIFF wakiwemo wanamuziki, waigizaji wadhamini na wengeni wengi.
Kutoka kulia ni Jacob Steven. Raymond Kigosi na Cloud waigizaji wa filamu za Bongomovie wakiwa katika hafla hiyo..
Mchekeshaji Steve Nyerere kulia akiwa na wadau kutoka kampuni ya kusambaza filamu ya Steps Entertainment.
Mwigizaji Jaquiline Walper kushoto akiwa na waigizaji wengine katika hafla hiyo wa tatu kutoka kulia ni mchezaji wa timu ya Simba Uhuru Selemani.
Mwigizaji Aunt Ezekiel kushoto akiwa na waigizaji wenzake.
Mwenyekiti wa ZIFF Bw. Mahmoud Thabit Kombo akiwatambulisha waigizaji pamoja na wasanii mbalimbali katika hafla hiyo jana







