Mlipuko wa bomu la juzi Nairobi Kenya ulipotokea, swali la kwanza ambalo wengi waliuliza baada ya
kupata taarifa, lilikua ni wamepoteza maisha watu wangapi? Taarifa kamiliilipotoka baadae ikaonyeshahakikutokea kifo chochote ila majeruhi walikua zaidi ya 25, wengine walitibiwa nawatano wakabaki hospitali kutibiwa manake walikua
katika hali mbaya. Taarifa za leo kutoka Nairobini kwamba mmoja wa haowaliokua wamebakihospitali aitwae LESIYAMPE
amefariki dunia alfajiri.