photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Breaking News..

Breaking News..

Posted on Jun 10, 2012 | No Comments

Waziri wa mambo ya ndani (Usalama wa ndani) wa Kenya George Saitoti naibu wake Orwa Ojode na wengine watano wamefariki kwa ajali ya Helikopta huko magharibi mwa Kenya.
Picha za tukio la ajali.
Mhe. George Saitoti.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru