Habari za kiintelijensia zimetonya kuwa tayari Mheshimiwa Mizengo Pinda ndie Raisi mtarajiwa baada ya Mheshimiwa Kikwete kumaliza muda wake.
Habari za ndani ya kasha zimesema kuwa Mheshimiwa Pinda ameshapewa baraka zote za wakuu na kinachoendelea sasa ni mikakati ya kumpa kipau mbele katika harakati nyingi zinazohusisha jamii.
Kwa ufupi hana mpinzani wa kweli zaidi ya vivuli ambavyo vitajiengua katika hatua za mwisho.