CHEKECHA..
Posted on
Jun 20, 2012
|
No Comments
Hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
Cheti
mwalimu 244400, afya cheti 472000, kilimo na mifugo 959400, sheria 63000
Diploma
mwalimu 325000, afya 682000, kilimo na ufugaji 1133600, sheria 871500
Degree
mwalimu 469200,afya 802200, kilimo na ufugaji 1354000, sheria 1166000
JE UKO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA ?
