CHEKECHA..
Posted on
Jun 22, 2012
|
No Comments
Kifo cha Mholanzi huko Serengeti na mwitikio wa mawaziri wawili...
katika taarifa ya habari ya leo nimeshuhudia mawaziri wawili(yule wa mambo ya ndani na yule wa maliasili na utalii) wa JMT wakifika katika eneo la tukio.
sio muda mrefu tuliwahi kusikia mauaji ya kutisha mfano kiongozi wa chadema kuchinjwa na chainsaw,vijana wanne kunyongwa,zeru zeru kuuliwa kikatili na viungo vyake kunyofolewa.
swali;je mawaziri wanathamini wazungu kuliko watanzania?
