photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > CHEKECHA..

CHEKECHA..

Posted on Jun 30, 2012 | 1 Comment

200 BILLION KUKODI MADAKTARI..
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo?
2.Fedha hizi kwa nini zisitumike kuboresha hospital kwa kununua vifaa vya hospital?
3.Kwa nini kwa Serikali hii kukija swala la kukodi kitu fedha hupatikana mara moja?
Na maswali mengine mengi,hebu tuisaidie serikali katika kufanya mipango yake.

Comments:1

  1. Huu ni upuuzi!na watanzania watambue kwamba serikali hawajali wala hisikitiki na maangaiko tunayoyapata,kama hela zote hizo zinapotea kukodi madaktari kutoka nje,ambao gharama yake ni kubwa mara mbili ya madaktari wa kitanzani, je wanampango gani na uhai wa watanzani? watanzania tujiulize hilo.fedha hizi zingetumika kurekebisha mishahara ya madaktari na kuboresha hospitali kwa kununua vifaa na kuongez wahudumu.hivi kukodi madaktari wa nje wanamkomoa nani,madaktari au watanzania walipa kodi na walala hoi? je madaktari wa nje kwao hawahitajiki? hata wakija watahudumia miaka yote?Huu ni upuuzi na ujinga mtupu!

    ReplyDelete