CHEKECHA..
Posted on
Jun 9, 2012
|
No Comments
CCM wamsimamishe Mwakyembe 2015?
Toa maoni wako!.Nimefatilia sana leo mkutano wa ccm jangwani, kwa kifupi nimeona waliohutubia wote wameoza sio magufuli wala magembe etc,. Kwa kiasi nimeona mwakyembe pekee ndio kaongea vitu vya maana na kweleweka,. Nimegundua mtaji wa afadhali uliobaki ccm ni mwakyembe pekee.
