photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Gentriez mwakitabu ni msanii wa Hip-Hop kutoka kundi la River Camp Soldiers jijini Arusha.

Gentriez mwakitabu ni msanii wa Hip-Hop kutoka kundi la River Camp Soldiers jijini Arusha.

Posted on Jun 5, 2012 | No Comments


Alianza mziki mwaka 2003 kupitia talent shows na free stage hasa zile za Via-Via. 2008 aliingia studio na kurecordi wimbo wake wa kwanza uliokua unaitwa Mandamano Ya Haki ambao hauku fanikiwa kufanya vizuri..then 2011 hapo ndipo nyota yake kidogo ilipoanza kuonekana baada yakuachia nyimbo.iliyofanya vizuri kuanzia mtaani hadi kwenye radio station tofauti. Pia wimbo huo ulikuja na mafanikio kadhaa kama, alipatiwa jina la Arusha boy pia akafanikiwa kufungua clothing line ya Arusha boy clothing line chini ya Wanene Entertainment.. and now 2012 ameachia wimbo wake mwingine unakwenda kwa jina la  NNA KILA SABABU aliomshirikisha msanii mwingine kutoka kundi la Jambo Squad Chalii Mtoto Wa Bibi au Nigga C.. humo ndani utasikia michano mikali kama NAOTA MABAWA KWENYE MV BUKOBA KISHA NAPAA nakadhalika..
Watu wakae tayari kwa ujio wa video ya wimbo huo itakayo toka hivi karibuni.. Pia unaweza kuskiliza na kudownload bure nyimbo kibao zake zote alizowahi kuzifanya  ONLINE kupitia:


Gentriez Mwakitabu yuko chini ya RECORD LEBEL YA WANENE ENTERTAINMENT iliko jijini Arusha inayo milikiwa na founder and C.E.O Darsh Pandit.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru