Hawa ndio viongozi wapya serikali ya wanafunzi IAA 2012-2013
Posted on
Jun 1, 2012
|
1 Comment




SHUKRANI.
ReplyDeleteNapenda kuwashukuru wanafunzi wote mliojitokeza kutimiza haki yenu ya msingi ya kupiga kura.
Pia napenda kutumia fursa hii kuwapongeza wagombea mbalimbali walioshinda nafasi mbalimbali za uongozi.Pongezi za dhati ziende kwa raisi mpya wa serikali ya wanafunzi (IAASO) Bw. Benjamin,makamu wake Susan Sawe na katibu wa serekali ya wanafunzi Bw. Hatibu Iddi.
Kwa walioshindwa hiyo tunaita ajali ya kisiasa na mmeonyesha kukomaa kisiasa kwa kuridhia matokeo.Ni wakati muafaka wa kujipanga na kutazama mbele.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitawashukuru wadau mbalimbali tuliosaidiana nao kwa njia moja au nyingine.Shukrani za dhati ziende kwa blogu ya www.rchugga.blogspot ”be first to know” kwa kutoa updates mbalimbali za uchaguzi kwenye mtandao.
By MNDEME SULTAN SAID(meneja wa kampeni)
k.n.y FRIENDS OF MWITA,SUSAN,HATIBU.