photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > IKULU: RAIS JAKAYA KIKWETE AMKARIBISHA IKULU RAIS WA JAMHURI YA KIARABU YA SAHARAWI MOHAMED ABDELAZIZ.

IKULU: RAIS JAKAYA KIKWETE AMKARIBISHA IKULU RAIS WA JAMHURI YA KIARABU YA SAHARAWI MOHAMED ABDELAZIZ.

Posted on Jun 25, 2012 | No Comments

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi Mhe.Mohamed Abdelaziz leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya  Kiarabu ya Saharawi  Mhe.Mohamed Abdelaziz picha ya waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Julius Nyerere na  Hayati  Abeid Karume wakibadilishana hati za muungano muda mfupi baada ya Rais Kikwete na mgeni wake kumaliza mazungumzo rasmi  ikulu jijini Dar es Salaam leo.Mhe.Mohamed Abdelaziz  Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Saharawi aliwasili nchini jana jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Picha na Freddy Maro-IKULU

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru