Juu ya Meza.
Posted on
Jun 9, 2012
|
1 Comment
![]() |
| Hemed Suleiman (PHD)' |
Msanii wa leo "Juu Ya Meza" ni 'Hemes Suleiman(PHD)'
FURSA YAKO: Funguka chochote kinachokukera / kinachokufurahisha kwake.
ONYO:Lugha ya MATUSI HAIRUHUSIWI TAFADHALI.
KUMBUKA:Kile utakacho weka hapa itakuwa ni njia ya kuweka mambo sawa hasa kwa mlengwa wa siku.
Mziki wa Bongo ni bonge moja la ajira kwa wasanii na watu wote waingizao kipato kupitia mziki kwa namna moja au nyingine. Hivyo mchango wako ni chachu katika kutengeneza njia katika ulimwengu wa muziki.

mkubwa anatisha huyu,ila ajitahidi kuwa role model ktk jamii, maana wasanii wengi bongo wakishajiona hivyo,tabia zao zinakuwa chafu;kitu ambacho naamini ni kinyume na tasnia yao.nategemea mengi kutoka kwake.
ReplyDelete