photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> MGOMO WA MADAKTARI WACHUKUA SURA MPYA.

MGOMO WA MADAKTARI WACHUKUA SURA MPYA.

Posted on Jun 27, 2012 | No Comments

KIONGOZI WA MGOMO WA MADAKTARI (DR ULIMBOKA) ATEKWA, AOKOTWA AKIWA KATIKA HALI MBAYA SANA.


Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!


Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.



Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).


 Pinda asema "Liwalo na liwe"

Kauli aliyoitoa bungeni leo asbuhi waziri mkuu pamoja naklukamatwa kupigwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr. Steven Ulimboka vinanifanya kutambua kwamba serikali yetu nzima haina mpango wowote na kujali maisha/uhai wa watanzania hata tone;
Nawasihi madaktari wote nasi tuseme liwalo na liwe haturudi kazini

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru