KITUKO CHA SIKU.
Posted on
Jun 30, 2012
|
No Comments
Kuna walevi watatu walikuwa wamelewa sana, wakakodi tax ili iwapeleke, dereva tax akawasha gari halafu akazima akawambia haya shukeni, mlevi wa kwanza akalipa nauli akashuka wa pili akamwambia dereva asante sana, yule mlevi wa tatu akampiga dereva kibao, dereva tax akajua yule mlevi amemshtukia, akataka kujitetea, lakini yule mlevi akamwambia siku nyingine uwe unaendesha gari taratibu.
By Queen.N
