photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Mali za Kanumba zagawanywa..

Mali za Kanumba zagawanywa..

Posted on Jun 6, 2012 | No Comments




HUKU sakata la mirathi ya marehemu Steven Charles Kanumba aliyekuwa gwiji wa filamu Bongo, likiendelea kufukuta chini kwa chini, baba mzazi mzee Charles Kusekwa Kanumba amegawanya mali za mwanaye, Risasi Mchanganyiko linakufunulia.

Mali za marehemu Kanumba zinazotajwa katika mgawo huo ni pamoja na kampuni yake iitwayo Kanumba The Great Film Company na magari.
HABARI KAMILI

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru