Yaliyojiri Kwenye Kurasa za twitter na facebook
Posted on
Jun 4, 2012
|
No Comments
Asiyefanya kazi na asile. Wala asisikie harufu. Unaweza kumuonea huruma.
Ukianza tu kuhisi umepungukiwa mawazo mapya mazuri (nakwambia ukweli mwanawane) ni dalali tosha kabisa kwamba umri umeshakuacha. Alamusiki!
Je! Unajua hadi kufikia level ya uprofesa unakuwa umetumia asilimia nane (8%) tu ya akili yako?... tujitume tuitumie akili yetu
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema moto uliowashwa na chama hicho katika Operesheni Sangara utaendelea.
MPELELEZI wa vipaji vya soka toka klabu tajiri England, Manchester City, Joe Mulberry alitua kwa siri mjini
Russia's Putin arrives in Beijing for three-day meeting with Syria, energy & security on the agenda
Usiwe na wasiwasi, buibui hakuzidi ukubwa. Sawa lakini hata bomu pia halinizidi ukubwa!
Ajali ya ndege iliyotokea Nigeria na "utabiri" wa TB Joshua
Onyo: Unywaji wa pombe unaweza kukupa imani potofu kwamba unaweza kuimba au kuwa porofesa wa liluga la bibi mvaa glavzi nyeupe!
