photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> MATUKIO YA WAZIRI MKUU KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA.

MATUKIO YA WAZIRI MKUU KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA.

Posted on Jun 27, 2012 | No Comments

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Mbunge wa Dole, Sylvester Mabumba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Mashariki Gaudence Kayombo, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na wawekezaji katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake  Bungeni  Mjini Dodoma Juni 27,2012. Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake  Bungeni  Mjini Dodoma Juni 27,2012. Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru