MSANII WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL (LULU)ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI
Posted on
Jun 26, 2012
|
No Comments
Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) akipanda basi la Magereza huku akijaribu kukwepa kamera za waandishi wa habari jana mara baada ya kutoka kusikiliza kesi ya kudaiwa kuuwa inayomkabili kwenye Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam baada ya kesi hiyo kuhairishwa hadi 9.7.2012.
Lulu akielekea kupanda kwenye basi tayari kuelekea magereza katika mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam.


