photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> "Mtoto yatima ni mtoto wako, chukua hatua"

"Mtoto yatima ni mtoto wako, chukua hatua"

Posted on Jun 4, 2012 | No Comments


Kila siku ya Mungu, magonjwa hatari kama Malaria na UKIMWI yanachukua maisha ya mamilioni ya Wazazi Tanzania na kuacha watoto wengi bila wazazi.
Ni wajibu wetu kuwatunza hawa watoto.
"Mtoto yatima ni mtoto wako, chukua hatua. 
Tanzania kwa pamoja tunaweza.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru