NAFASI ZA KAZI.
Posted on
Jun 7, 2012
|
No Comments
-
Afisa Uvuvi Msaidizi II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mvuvi Msaidizi
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mteknolojia wa Samaki Msaidizi II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Nohodha Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Muunda Boti Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mhandisi Baharini II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mhandisi Mitambo ya Barafu II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Fundi Sanifu wa Baharini II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Fundisanifu Mitambo ya Barafu II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mteknolojia wa Samaki II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Mkufunzi Kilimo Msaidizi Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Fundi Sanifu Maabara za Mifugo Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Afisa Uvuvi II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Afisa Mifugo Msaidizi Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Daktari wa Mifugo Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012 -
Daktari Utafiti Mifugo Daraja la II
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Deadline: Jun 11, 2012
Nafasi zote hizo za kazi apo juu, ni za wizara ya maendeleo ya Mifugo na Uvuvi..
Ukitaka habari zaidi juu ya kazi hizo pitia link hiyo apo chini na utapata jinsi ya kuapply kazi hizo..
Date Listed: Jun 7, 2012
Phone: No Calls Please
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Jun 11, 2012
Position Description:Press Here
Application Instructions:
Please see the Position Description Document
