Nape Mahafali ya Vijana CCM Vyuo Vikuu Iringa
Posted on
Jun 3, 2012
|
No Comments

Nape akimkabidhi kadi ya CCM, Agnes Pius wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
Nape akimkabidhi cheti cha uongozi, Hamis Ngila wa Chuo cha Tumaini
Nape akimkabidhi cheti kwa niamba ya wanachama wengine, Juma Hango (Mwenyekiti mkoa wa Chuo cha Mkwawa)
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Iringa, wakishiriki kiapo cha uanachama wa CCM



