photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Nape ndani ya Songea Jana..

Nape ndani ya Songea Jana..

Posted on Jun 3, 2012 | No Comments

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akaanza shughuli za chama mara baada yakupokelewa katika Kata ya Tanga, wilayani Songea  ambako yalifanywa mapokezi yake.
Nape akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206
Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa  Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji
. Nape akisisitiza jambo wakati akihutubia katika Uwanja wa Maji Maji
Nape akisalimia wananchi alipowasili Uwanja wa Maji Maji Songe kuhutubia mkutano wa hadhara
Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru