photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Nape ziarani mkoni Njombe

Nape ziarani mkoni Njombe

Posted on Jun 14, 2012 | No Comments

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na kukiimarisha katika wilaya mbali mbali mkoani humo. Kufuatia ziara hiyo Nape leo amewasili mjini Mafinga katika wilaya ya Mufindi kuanza ziara hiyo, Katika picha juu .Katibu Mwenezi wilaya ya Mafinga  Daudi Yassin akimtambulisha Nape kwa wenyeji
Nape akivishwa skafu na Green Guard wa CCM, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi iliyopo mjini Mafinga
Nape akisalimia wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Njombe, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya Mafinga wilayani Mufindi

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru