photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NBC YADHAMINI KIASI CHA DOLA ZA KIMAREKANI 70,000 KWA AJILI YA UTAFITI WA MAKAMPUNI BORA 100 YA KATI

NBC YADHAMINI KIASI CHA DOLA ZA KIMAREKANI 70,000 KWA AJILI YA UTAFITI WA MAKAMPUNI BORA 100 YA KATI

Posted on Jun 20, 2012 | No Comments


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akizungumza katika hafla ambyo NBC ilikabidhi hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa ajili utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati unaoandaliwa na kampuni ya KPMG kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KPMG Tanzania, David Gachewa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa waandaaji wa utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya KPMG, David Gachewa (kulia) na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications, Theopil Makunga. Hafla ya makabidhiano imefanyika jijini Dar es Salaam jana.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru