NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 6, 2012
|
No Comments
Vitu viwili muhimu katika mahusiano kwa mwanamke na mwanaume ili yadumu kwa muda mrefu
Vitu hivi ni muhimu na kama mtu ukivishika utadumu katika mahusiano kwa muda mrefu sana1.(KWA WANAUME) mwanamke anahitaji kuoneshwa kuwa anapendwa ukimwonesha hivyo kuwa unapenda basi hanaujanja tena
2. (KWA WANAWAKE) mwanaume anahitaji kuoneshwa kuwa unamuheshimu kwa kufuata mnavyo panga kwa pamoja ukiweza hana tena ujanja
