photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO..

NDOA NDOANO..

Posted on Jun 8, 2012 | No Comments

Nimechoka basi

Nina Mpenz na mda mrefu naye kama miaka 6 hivi lakini kwasasa nimechoka..

sababu ziko nyingi lakini kubwa zaidi nikunitishia kuvunja uhusiano kama kunakitu kaniomba ni meshindwa kumtimizia..
nimeshaa kaanaye mara nyingi kumwambia lakini habadiliki kabisa na hiyo inasababishwa kwasababu anajua nampenda sana
amefikia hatua ananiambia nisimtafute mpaka atakapo amua yeye kunitafuta,inapita mwezi nashindwa kuvumilia namtafuta ilituyamalize anakubali lakini siku tukitofautiana kidogo ananiambia kwani nilikuomba unitafute!
Nimechoka na matendo yake natakakumwacha lakini kwa kusema kweli nampenda sana
naomba ushauri wenu njia ya kumsahau kabisa...

Tuandikie hadithi yako nasi tutashirikiana na wanajamii, rchugga@gmail.com

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru