Mimi ni Mswahili mzaliwa wa Bongo. Naomba kujitokeza kwa mara ya kwanza katika Forum yetu adhimu kutafuta rafiki wa kawaida. Sibagui dini wala kabila.

Sifa za rafiki anayetakiwa
.
Awe mpenda kiswahili.
Awe mhalisi na mpenda ukweli.
Awe mpenda nchi yetu lakini asiwe kama Ngwangwa ak.a Mtikila
.
Awe anaongozwa na msimamo wake ambao anaamini ni sahihi lakini mwenye uwezo wa kukubali ukweli.

Wenye dhamira ya dhati wanakaribishwa. Waweza kunipata kupitia
chiefmtz@jamiiforums.com