NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 11, 2012
|
No Comments
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?toa maoni yako apa, na tuma hadithi yako nasi tutawashirikisha wanajamii..
rchugga@gmail.com
