NDOA NDOANO..
Posted on
Jun 20, 2012
|
No Comments
Simuelewi huyu dada
Nina mahusiano na binti mmoja, tumepishana mwaka mmoja kiumri. Hapendi niwasiliane na watoto wa kike. Kuna kipindi anachat na wanaume na ukigundua anaacha but after tym anaanza tena. Kipato changu si kikubwa sana but yeye anapenda kuniomba vitu vya gharama na wakat anajua sina uwezo navyo. Na mda mwingne anaomba hela ukimwambia sina ni tatizo ataibua ugomvi na msg chafu utazipata. Jana kakuta cm yangu ina msg nimetuma kwa mtu "angali clouds tv" imekuwa kesi kwanin nimtumie huyo dada msg! Wakat hata sina mahusiano nae, kaniporomoshea msg mbovu na anataka tuachane.Share your story with us, email: rchugga@gmail.com
