photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > Rais Jakya kikwete aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu BOB MAKANI.

Rais Jakya kikwete aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu BOB MAKANI.

Posted on Jun 11, 2012 | No Comments



Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu wa Rais wa pili kutoka kushoto na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wa mwisho kushoto wakiongoza waombolezaji  kwenye viwanja vya Karimjee wakati Mwili wa muasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mzee Bob Makani ulipoagwa leo jijini Dar es salaam
Mwili wa Marehemu Bob Makani ukiwa umewekwa eneo maalum tayari kwa kuaga mwili huo leo kwenye viwanja vya Karimjee.
Mwili wa Marehemu Bob Makani ukiteremshwa kwenyegari ili kuwekwa eneo hilo kwa ajili ya waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru