photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Show Tatu Zilizo Ingiza Watu Wengi Maisha Club

Show Tatu Zilizo Ingiza Watu Wengi Maisha Club

Posted on Jun 3, 2012 | No Comments

Club Maisha Dar es salaam imetangaza show tatu zilizovunja rekodi ya kuingiza watu wengi zaidi kuliko nyingine mwaka huu. Huu ukiwa ni mwezi wa sita, show iliyoshika nafasi ya kwanza ni ya Mwimbaji Diamond Platnums wakati wa birthday yake ambayo imeishinda showaliyomvisha pete ya uchumba Wema Sepetu. Show ya Birthday ya Diamond iliingiza zaidi ya watu elfu mbili mwanzoni mwa mwaka huu, show iliyoshika nafasi ya pili ni show iliyowapambanisha kwenye stage Dogo Janja, Dogo Aslay na Young D, Show ya tatu ni ya WEUSI, kundi linaloundwa na Joh Makini, Lord Eyes, G Nako, Nikki wa Pili, Bonta na wengine ambapo iliingiza zaidi ya watu elfu mbili.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru