photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Taswira Mbalimbali Za Wiki Ya Mazingira

Taswira Mbalimbali Za Wiki Ya Mazingira

Posted on Jun 5, 2012 | No Comments

 Kulia Naibu Waziri Ofisi ya Makamau wa Rais mh. Charles Kitwanga akipata maelezo toka kwa Bi Arafa Maggid mhandisi mazingira Bonde la pangangi kuhusu vifaa vya kupimia ubora wa maji,alipotembelea banda la hilo katika maonyesho ya wiki ya mazingira mkoani kilimanjaro.
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiangalia ndege katika banda la Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi Wanyama Pori Mwika alipotembelea banda hilo,wakati wa maonyesho ya wiki ya mazingira mkoani Kililimanajaro.Picha na Ali Meja-Ofisi ya Makamu wa Rais

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru