photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > UJUE MKOA WA IRINGA..

UJUE MKOA WA IRINGA..

Posted on Jun 20, 2012 | No Comments


 Eneo la Stendi Kuu ya Mabasi ya mikoani Mjini Iringa linavyoonekana mchana wa leo
 Moja wa Mtaa wa Mjini Iringa. Licha ya Mkoa huu kuwa ni Mkoa wa Kihistoria na Utalii kutokana na Watu maarufu na Machifu wa Kihehe kushiriki kikamilifu katika Vita vya kale vya Majimaji akiwapo Chief Mkwawa lakini bado mji huu unaonekana kuwa nyuma kidogo katika makazi hasa mjini ambako sasa ndio kuna jengwa.
 Nyumba mbalimbali zinazotumika kama makazi na sehemu za Biashara Mkoani Iringa zikionekana kwa juu
Majengo ya kisasa
Mji bado unaendelea kujengwa kwa kasi hivi sasa kama inavyoonekana.
 
source father kidevu

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru