photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> Ushoga Unapoingizwa Tanzania na Watanzania kwa Mbeleko ya Utegemezi by yerickonyerere

Ushoga Unapoingizwa Tanzania na Watanzania kwa Mbeleko ya Utegemezi by yerickonyerere

Posted on Jun 11, 2012 | No Comments

Kumeibuka kampeni na hisia za wazi za kubariki mapenzi ya jinsia moja yani USHOGA na USAGAJI kwa baadhi ya Watanzania kwa mgongo wa haki za binadamu huku wakihusisha imani zao takatifu bila kujua wala kutanabahi angalau kuangalia sheria ambazo huongozwa na sheriamama ambayo ni katiba ya nchi.
Katiba ya nchi haikubali na haikatazi mojakwamoja ushoga/usagaji, bali inakazia haki za msingi za uhuru wa kila binadamu. Mashoga hawapo wengi kiasi cha kuathiri mfumo tuliona wa uendeshaji wa maisha ya mtanzania na hawa waliopo hawatabuliki kisheria kama MASHOGA/WASAGAJI bali wapo chini ya uvungu wa vitanda vyao, wakiendesha matendo yao bila kibali cha MUNGU, JAMII, SERIKALI nk.
Historia ya Ushoga inaanzaia mbali sana hata kabla Mtume Mohamed na Yesu Kristo hawajazaliwa, lakini chipuzi sahihi ni mnamo karne ya 13 pale visiwa vya NGAZIJA ya sasa toka kwa mfanyabiashara wa tende toka Omani, Historia inazidi kubainisha kuwa mfanyabiashara huyo alikuwa akimwingilia mjakazi wake wa kiume pindi mkewe akiwa kwenye siku zake, Simulizi za Malimj Omar za karne ya 16 zinabainisha hivyo.
Ushoga ulienea duniani kutoka Ngazija, na karne 15 uliingia Zanzibar na Mombasa na karne ya 16 uliingia USA kwa njia ya Utumwa, Kule USA uliingilia katika gereza maarufu la wafungwa wa kitumwa na Abeid Ahamadir Salumu, inatajwa kuwa ilikuwa kama jamba jipya na lenye kustusha ambapo ilipelekea mkuu wa jela hiyo Rohany Coney kupiga marufuku tabia hiyo ya ushoga. Karne ya 17 mwishoni ndani ya jela hiyo iligunduliwa staili ya kujificha na kutambuana kwa ishara ya kulegeza kaptula au suruali ya shoga. KATAKUNDU, Hii iliwasaidia walaji kujua kuwa ukivaa tu hivyo basi wewe ni muamini wa USHOGA. Karne ya 19 dunia ilifahamu rasmi kuwa kuna ushoga na leo Tz tunashinikizwa kuukubali kwa mgongo wa haki za binadamu.
Ninashauri  watanzania kwa pamoja tupinge maajabu haya, ninaamini hata ng'ombe,kuku,mbuzi na kiumbe yeyote hayawani hawaingiliani kimwili, ndiomaana mungu aliiangamiza SODOMA na GOMORA kwa kuwa alichukizwa na matendo haya
Katiba ya nchi ibadilike sasa na kuweka wazi kifungu cha kuwaadhibu ,kuwabagua au kuwakataa katika nchi yetu. Mfano nchi nyingi zina seria kali sana juu ya hili, Iran, Iraq, Oman, China na kwingine adhabu zake ni za kunyongwa.
Tunapaswa kukemea na kuwalea vijana kujiepusha na vitendo hivyo na kukemea kwamba utamaduni huo sio mzuri kwa vile si mpango wa Mungu katika kushiriki uumbaji wake. Kwa waliokwisha athirika na mfumo huo hakuna njia nyingine ya kuwatema katika jamii kwa vile wana haki za msingi kama binadamu na hata haki ya kupata huduma za kijamii na ajira ni halali yao, lakini isiwe tiketi ya kuhalalisha UFIRAUNI wao Tanzania
Shime watanzania kama kwa kufanya hivyo ni tiketi ya utegemezi bsi na tuamue bora tufe kwa kukosa misaada. Ikiwa moja ya sheria za uanachama wa HAKI za binadamu basi na tujitoe sasa kama nchi zingine mfano China

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru