photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > Watanzania kuuga mwili wa Bob Makani leo katika ukumbi wa karimjee..

Watanzania kuuga mwili wa Bob Makani leo katika ukumbi wa karimjee..

Posted on Jun 11, 2012 | No Comments


Mwili wa aliyekuwa muasisi wa Chama cha Siasa cha CHADEMA Bob Makani aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo, unaagwa leo jijini Dar es Salaam katika viwanja Karimjee.
Mwili wa mwana siasa huyo mkongwe nchini aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74 unatarajiwa kusafirishwa kuelekea mkoani Shinya katika wilaya ya Kishapu kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho kutwa.
Kutokana na msibahuo mzito Chama cha CHADEMA kimesema kitapeperusha bendera nusu mlingoti kwa muda wa siku saba.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru