WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA
Posted on
Jun 25, 2012
|
No Comments
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua zabibu wakati alipotembelea shamba la Tendaji Agro lililopo katika kijiji cha Chikopelo wilayani Bahi, Dodoma juni 24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake , Bungeni Mjini, Dodoma Juni 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
