Yaliyojiri Kwenye Kurasa za twitter na facebook
Posted on
Jun 7, 2012
|
No Comments
After Nigeria, Brazil is home to the largest population of black people in the world.
“Tax exemptions cost Kenya Sh100b yearly (about TSh 1.9 trillion)” that's around 1% of their GDP. Ours?
IMF kurejesha ufadhili kwa Malawi: Dola milioni 157 kama mkopo kwa Malawi ili kuuchepua uchumi wake ambao umedorora
MWAKYEMBE aibua uovu mwingi ATCL, uongozi uliosimamishwa ulitumia MIL 78.9 Kununua sare 17 za wafanyakazi China.
JERRY MURO: Narudi kufanya kazi TBC, kipindi changu cha kwanza ni jumapili hii usiku
HALIMA MDEE: karibu nyumba 60 zilizojengwa kimakosa ufukwe wa bahari ya Hindi Kawe kubomolewa, za vigogo zimo sana.
