Ziara ya Nape Njombe na Makambako..
Posted on
Jun 6, 2012
|
No Comments
.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni jana, Juni,6, 2012 kwenye uwanja wa Polisi, mji wa Makambako, wilaya ya Njombe mkoa mpya wa Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye , akizindua tawi la CCM, Ubena Makambako, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama mkoani Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na wazee wa Kata ya Ilembula wilaya ya Wanging'ombea akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Njombe.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipiga ngoma.



